Wachimbaji wadogo wa Madini katika Mgodi wa Dhahabu Rwangasa Mkoani Geita wameipongeza Serikali kwa kujenga Mazingira wezeshi kwa taasisi za kibenki kutoa Mikopo kwa riba ndogo kwa Kundi lao.Akizungumza na Misalaba Media katika eneo hilo walisema wao kama Wachimbaji wadogo walikuwa wanapata Shida kupata Mikopo yenye mashart nafuu hivyo baadhi yao kukimbia mikopo ya kausha damu.Walisema Mikopo hiyoo ilikuwa ukuwa fanya wapate faida Ndogo ambayo haikuwa na tija mmoja wa Wachimbaji hao Abdal Rajabu alisema anaishukuru serikali kupata Mkopo katika Benki yenye Masharti nafuuu Alisema Mikopo hiyo Inasaidia kuongeza mapato yake kutokana na Uchimbaji wa Madini kwa kutumia Vifaa vyenye Ufanisi.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment