" MSANII WA BONGO FLEVA MR OCEAN AFUNGUKA MAUMIVU YA MUZIKI, AOMBA SAPOTI KWA WADAU

MSANII WA BONGO FLEVA MR OCEAN AFUNGUKA MAUMIVU YA MUZIKI, AOMBA SAPOTI KWA WADAU

 

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Mr Ocean, mzaliwa wa mkoani Shinyanga na kwa sasa akiishi Lindi, amefunguka kuhusu changamoto anazokutana nazo katika safari yake ya muziki. Akizungumza kwa hisia, Mr Ocean amesema bado anapambana kujitafuta katika tasnia huku akikosa sapoti ya kutosha inayoweza kumuinua zaidi kisanii.

Amesema licha ya vipaji alivyokuwa navyo, mazingira na ukosefu wa rasilimali vimekuwa vikimkwamisha kufikia malengo yake kwa wakati. Hata hivyo, hakukata tamaa na ameahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kujenga jina lake. Mr Ocean amewaomba wadau wa muziki pamoja na mashabiki kumpa sapoti kwa kusikiliza na kusambaza kazi zake, akiamini kuwa kwa pamoja wanaweza kumfikisha mbali zaidi kwenye ndoto zake za muziki.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post