
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.
Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment