Jumla ya watuhumiwa 63 wamekamatwa kwa makosa mbalimbali mkoani Shinyanga kufuatia operesheni zilizofanywa na Jeshi la Polisi katika kipindi cha mwezi Aprili 2026.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Kwa mujibu wa Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Janeth Magomi, operesheni hizo zililenga kukabiliana na uhalifu na kudhibiti vitendo vinavyokiuka sheria ambapo zimefanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao pamoja na kukamatwa kwa vielelezo mbalimbali.

Post a Comment