" BEST NASSO AFUNGUKA MAMBO MAZITO BAADA YA SHOW CHAKA TU CHAKA SHINYANGA

BEST NASSO AFUNGUKA MAMBO MAZITO BAADA YA SHOW CHAKA TU CHAKA SHINYANGA

 Msanii wa Bongo Fleva Best Nasso amefunguka baada ya kufanya show yake kwenye ya Chaka Tu Chaka lililofanyika mkoani Shinyanga, ambapo amesema amefurahishwa na mapokezi makubwa aliyoyapata kutoka kwa mashabiki wake. 

Amesema mashabiki wa Shinyanga wameonesha upendo mkubwa kwake jambo lililompa nguvu zaidi ya kuendelea kufanya muziki.

Aidha, msanii huyo amesema ataendelea kutoa kazi nzuri kwa ajili ya mashabiki wake huku akiahidi kuja tena Shinyanga kufanya show nyingine kubwa zaidi. 

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post