

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati alipowasili kwa ajili ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 5 Mei, 2026 nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akimpatia zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati alipowasili kwa ajili ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano leo tarehe 5 Mei, 2026 nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akipatiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati alipowasili kwa ajili ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano leo tarehe 5 Mei, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment