Baada ya wachezaji wawili wa kwanza wa Manheigana FC
kukosa penati, Mussa Nyanda alishindwa kuvumilia kuona timu yake ikizidi kuwa
kwenye hatari ya kuondolewa. Ingawa alikuwa amepangwa kupiga penati ya tano,
aliamua kujitolea na kwenda kupiga penati ya tatu. Aliifungia timu yake kwa
utulivu mkubwa, lakini juhudi zake hazikutosha kuiokoa Manheigana FC. Baada ya
mchezo kumalizika, hisia zilimzidi na akatokwa na machozi. Huu ndiyo uzuri na
uchungu wa mpira wa miguu.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment