" WAZIRI SANGU: BONDE LA ZIWA RUKWA NI HAZINA YA AJIRA KWA VIJANA

WAZIRI SANGU: BONDE LA ZIWA RUKWA NI HAZINA YA AJIRA KWA VIJANA

 


Mbunge wa Jimbo la Kwela na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi,Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akizungumza na wananchi wa kijiji cha Lwanji Tarafa ya Kipeta Sumbawanga ambapo amewasihi kuendelea kuunga mkono juhudi za maendeleo jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Ephraim Konta

( Picha na OWM- KAM)

Post a Comment

Previous Post Next Post