" RAIS DKT. SAMIA AENDA NCHINI GHANA KUSHIRIKIA MKUTANO MKUU MAALUM WA (AU)

RAIS DKT. SAMIA AENDA NCHINI GHANA KUSHIRIKIA MKUTANO MKUU MAALUM WA (AU)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka nchini kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Julai, 2026 kuelekea Accra, Ghana ambapo atashiriki katika Mkutano Mkuu Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu afya, utakaofanyika tarehe 22 Julai, 2026 jijini Accra.   

Post a Comment

Previous Post Next Post