" CCM, MAREKANI WAJADILI USHIRIKIANO WA KISIASA

CCM, MAREKANI WAJADILI USHIRIKIANO WA KISIASA

 

Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kitaifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rabia Abdalla Hamid, (kulia) akiwaMkuu wa Kitengo cha Siasa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini, Ndugu Garvey Pierre leo Agosti 4, 2026, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.



Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kitaifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rabia Abdalla Hamid, (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Siasa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini, Ndugu Garvey Pierre leo Agosti 4, 2026, mara baada ya kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.

Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kitaifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rabia Abdalla Hamid, leo Agosti 4, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kitengo cha Siasa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini, Ndugu Garvey Pierre, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.
Mazungumzo hayo ni sehemu ya kuendeleza ushirikiano na kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na uhusiano wa kimataifa.

Post a Comment

Previous Post Next Post