Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda amesema Mkoa huo umekamilisha maandalizi ya mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 zitakazoingia mkoani humo Agosti 10 kupitia Wilaya ya Ukerewe na kuondoka Agosti 18 kuelekea Mkoa wa Shinyanga.
Amesema Mwenge huo utatembea kilometa 941 katika halmashauri zote nane za Mkoa wa Mwanza, ukipitia miradi 51 ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi bilioni 101.9.
Kwa mujibu wa RC Mtanda, miradi hiyo inahusisha sekta za maji, afya, elimu, barabara, mazingira na nishati safi, ambapo baadhi itazinduliwa, kuwekwa mawe ya msingi, kufunguliwa na kukaguliwa.
Amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki shughuli za Mwenge wa Uhuru, akisema ni fursa ya kuonesha utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuimarisha
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment