" DIWANI JACKLINE ISARO ALIVYOWAONGOZA WANANCHI KUCHIMBA MSINGI WA ZAHANATI KATA YA NGOKOLO

DIWANI JACKLINE ISARO ALIVYOWAONGOZA WANANCHI KUCHIMBA MSINGI WA ZAHANATI KATA YA NGOKOLO

 

Diwani wa Kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga Jackline Isaro, amewaongoza wananchi wa kata hiyo katika zoezi la uchimbaji wa msingi wa ujenzi wa zahanati itakayohudumia zaidi ya wakazi 2,000. Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Diwani huyo amesema ujenzi huo unatarajiwa kugharimu Sh. milioni 128, ukihusisha vitendea kazi, mafundi pamoja na mahitaji mbalimbali yatakayokamilisha shughuli za ujenzi huo.

Post a Comment

Previous Post Next Post