" HII NDIYO SABABU YA WAZIRI ULEGA KUPIGA SIMU LIVE KUONGEA NA WANAFUNZI KATIKA SHULE ALIYOWAHI KUSOMA MIAKA YA 90

HII NDIYO SABABU YA WAZIRI ULEGA KUPIGA SIMU LIVE KUONGEA NA WANAFUNZI KATIKA SHULE ALIYOWAHI KUSOMA MIAKA YA 90






Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Abdallah Ulega licha ya kuwakilishwa na Mbunge wa Viti maalum Pwani ambaye pia ni Mkewe naye alizungumza na Walimu pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari KARIBUNI kwa Njia ya simu.

Tukio hili la kumuenzi Mhe. Ulega katika shule hiyo ambayo alipata Elimu yake ya Msingi kabla haijabadirishwa na Kua Sekondari limeambatana na Upandaji wa miti.

Hii ni Programu ya Jeshi la Polisi ya kushawishi zaidi wanafunzi kusoma kwa bidii kwa kukutanishwa na watu Maarufu wenye mafaniko waluosoma kwenye shule zao

Post a Comment

Previous Post Next Post