TMA YASISITIZA WANANCHI KUJIANDAA KUKABILIANA NA MVUA ZA EL NIÑO
Taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) iliyotolewa Agosti 18, 2026, inaeleza kuwa msimu wa mvua za Vuli wa Oktoba hadi Desemba 2026 unatarajiwa kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu kubwa.
Kaimu meneja wa TMA Mkoa wa Shinyanga Bwana Ezekiel Buluba amesisitiza kuwa maandalizi ya mapema ni muhimu ili kulinda maisha ya wananchi, chakula na mali zao dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua hizo.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment