" MTUME MWAMPOSA,MCHUNGAJI KAPO WAMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR

MTUME MWAMPOSA,MCHUNGAJI KAPO WAMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR

 

Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba 2026, kufuatia kifo cha mume wake, Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia tarehe 07 Septemba 2026 katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar.

Post a Comment

Previous Post Next Post