Msanii wa muziki, Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya amesema amepokea wito wa
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi na kwamba atafika mwenyewe katika Kituo cha
Polisi Centra
Kauli hiyo ya Dudu Baya
imekuja baada ya Waziri Katambi kuagiza akamatwe na kufikishwa kituoni kwa
ajili ya kuchukuliwa hatua zinazostahili.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dudu Baya
amesema “mimi si gaidi, si muuaji, si muuza dawa za kulevya, si mbakaji, sina
tuhuma hizo.”
“Nakuja mimi mwenyewe hapa Central sasa hivi wala
Polisi msihangaike kunitafuta, natoka hapa nyumbani kwangu Kariakoo na kuja.”
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment