Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shukrani za dhati kufuatia kuguswa sana na upendo, mshikamano, salamu za pole, dua, na maombi aliyopokea kutoka ndani na nje ya nchi kufuatia kifo cha mume wake kipenzi, Bw. Hafidh Ameir Hassan, kilichotokea Zanzibar tarehe 07 Septemba, 2026.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari S. Machumu, Rais Dkt Samia ametoa shukurani hizo wakati wa kuhitimisha siku tatu za maombolezo ya kuondokewa na mpendwa wake.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment