Kamanda wa polisi Mkoa wa Shinyanga Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi amekutana na kufanya mazungumzo na wamiliki wa kampuni za ulinzi katika Mkoa huo na kuwataka kuzingatia sheria wanapotekeleza majukumu yaoAkizungumza nao katika bwalo la Polisi lililopo katika Manispaa ya Shinyanga SACP Magomi aliwaelekeza wamiliki hao kujisajili kwenye mfumo wa usimamizi na uratibu wa kampuni binafsi za ulinzi (Private Security Companies Portal) na kuwakumbusha kuwa vibali vya kampuni zao zitakoma uhalali ikiwa watakiuka masharti ya vibali hivyoAidha aliwataka wamiliki hao kuwakagua askari wao wanapoingia na kutoka kazini kuhakikisha ni wasafi na kwamba hakuna aliyelewa kwani kuna baadhi yao hulewa kupindukia na kuishia kulala badala ya kufanya kazi.Sambamba na hilo aliwataka kuzingatia sheria katika majukumu yao na kuwahudumia watu kwa kujali utu kwani wanaowahudumia ni binadamu, hivyo wanastahili kuhudumiwa kwa kuzingatia haki zao
PROFESSOR MGOKO EPISODE 2
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment