" KARIBU HOPE NURSERY, PRIMARY AND EXTENDED EXCELLENCE SECONDARY SCHOOL!

KARIBU HOPE NURSERY, PRIMARY AND EXTENDED EXCELLENCE SECONDARY SCHOOL!

KARIBU HOPE NURSERY, PRIMARY AND EXTENDED EXCELLENCE SECONDARY SCHOOL!

DISCIPLINE AND HARDWORKING BEGETS SUCCESS

Unatafuta shule bora itakayomjengea mtoto wako msingi imara wa elimu na kumwandaa kwa maisha yenye mafanikio?

HOPE SCHOOL iliyopo Lubaga, Mkoani Shinyanga, inakukaribisha kujiunga na familia ya shule inayojali elimu bora, nidhamu, malezi na maendeleo ya watoto wetu.

Tunatoa elimu kuanzia Chekechea (Nursery), Shule ya Msingi (Primary) hadi Sekondari (Secondary), kwa mfumo wa kutwa na bweni (Day & Boarding).

KWA NINI UCHAGUE HOPE SCHOOL?

  • Malezi bora yanayoambatana na elimu yenye ubora.
  • Madarasa kuanzia awali hadi sekondari.
  • Walimu wenye ujuzi, weledi na upendo kwa wanafunzi.
  • Mazingira rafiki na salama kwa kujifunzia.
  • Huduma za shule ya kutwa na bweni.
  • Shughuli mbalimbali za maendeleo ya wanafunzi.
  • Matokeo bora kitaifa.

HOPE SCHOOL – TUNAJENGA MSINGI IMARA WA ELIMU NA MAISHA YA WATOTO WETU!

USAJILI UNAENDELEA!

Wazazi na walezi mnakaribishwa kuwaleta watoto wenu kupata elimu bora katika mazingira rafiki na yenye kuwajengea nidhamu na bidii katika masomo.

WASILIANA NASI:

📞 +255 754 291 887
📞 +255 625 820 984
📞 +255 762 571 487
📞 +255 677 669 038

HOPE SCHOOL: ELIMU BORA, MAISHA BORA!

Post a Comment

Previous Post Next Post