" BENKI YA CRDB YABORESHA, ZAKA NA SADAKA KIDIGITALI KANISANI NA MISIKITINI HUNA HAJA YA KUBEBA PESA

BENKI YA CRDB YABORESHA, ZAKA NA SADAKA KIDIGITALI KANISANI NA MISIKITINI HUNA HAJA YA KUBEBA PESA

 

Jumanne Wambura Wagana Kaimu Meneja wa Kanda -CRDB  Kanda ya Magharibi.

Naamini familia nyingi zinaenda kanisani na misikitini kuabudu. Benki yako pendwa ya CRDB iko nawe kila ulipo kupitia Simbanking App

Ukiwa na simbaking huna haja ya kubeba pesa au kumpa shida shemasi kuhesabu na kutunza pesa za zaka na sadaka. Tumia simbanking kutoa sadaka. Ingia kwenye Simbaking App kisha fanta hivi

1. Nenda kutuma pesa

2. Chagua kwenda CRDB

3. Weka akauti ya kanisa au msikiti

4. Andika jina lako na aina ya sadaka

5. Hakiki jina la kanisa/msikiti 

6. Hakiki malipo kisha omba risiti (slip)

7. Mtumie mhazini wako risiti

Usiwape waumini wenzako shida ya kukusanya na kuhesabu matoleo. CRDB imekusoti, tumia Simbaking.

Kama kanisa au msikiti wako hauna akauti ya CRDB waambie wafungue leo akauti ya SADAKA ambayo haina makato yeyote. Waambie na waumini wafungue akauti CRDB kufurahia huduma hii. Zaka na sadaka imerahisishwa na waumini wote walioko nyumbani na kwenye nyumba za ibada wanaweza kujumuika kwenye zaka na sadaka mahali popote na wakati wowote.

CRDB Bank - Tunakusikiliza

1 Comments

  1. Kweli hiyo imekaa vizuri lakini Jamii tuliyonayo ina uelewa mdogo katika kutumia App au Smartphone, kupitia KYC , Mfumo rahisi kabisa utengenezwe na utumie tu simu za kawaida

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post