Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu, amefanya mabadiliko madogo ya vituo vya kazi kwa Mapadre wawili wa Jimbo.
Askofu Sangu amefanya mabadiliko hayo Jumapili tarehe 16.04.2023, katika Misa ya maadhimisho ya kilele cha hija ya Huruma ya Mungu, ambayo imefanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Nkololo wilayani Bariadi mkoani Simiyu.

Post a Comment