" CHATO TUMEKUBALI HATUNA DENI NA MAMA AMEHAIDI AMETEKELEZA

CHATO TUMEKUBALI HATUNA DENI NA MAMA AMEHAIDI AMETEKELEZA

Viongozi kutoka chato Mkoani Geita ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kutekeleza yale aliyoyahidi Wakizungumza juzi katika uzinduzi wa Daraja Hilo ambalo limezinduliwa hivi kalibuni Viongozi hao wamesema Wanapongeza Mhe, Rais kwa kuzungumza na kutenda

Akizungumza Mmoja wa Viongozi hao Mashamba madundo ambae ni Mwenyekiti wa Tawi la chato Mkuyuni Amesema Hakika watu wa Chato tunajivunia Huongozi wa Mama Huyu kipindi anaingia Madarakani alihaidi Hospital ya Wilaya tiyari Imeshakamilika ,lkn pia Daraja la JPMagufuri liIikuwa lipo Asilimia26 tu akuna aliyejua Daraja hili litakamilika Dkt Samia amelikamilisha.

Naye Shekh Abduirahman Abdalla Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Shekh wa Wilaya alisema anamshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kututendea Haki watanzania na wanachato East Africa pia ameitendea haki Tanzania kwa sababu Barabara hii kuingia Mwanza ni kiunganishi cha East Afrika Ikiwemo Uganda Burundi wanachato Tunasema Mama hatuna Deni Naye October tukatiki kwa sababu aliyoyafanya ni Makubwa kukamilika kwa Daraja hili ni Ishara ya Kuwa Mama amefanya tunaendelea kumuunga mkono.

Abdalla alisema tuna wajibu wa kuwaeleza wale ambae awajaona Yale aliyoyafanya Dkt Samia Suluhu Hassan tunasaidia kuwaeleza kwa Yale aliyoyafanya Kama Binadamu Mwenzetu tumtendee haki kwa kumchagua kwa kishindo hivyo watanzania kazi anayoifanya Inahitaji Sisi watanzania kumuunga Mkono.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post