" NAFASI ZA MASOMO KATIKA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (EARTH SCIENCES INSTITUTE OF SHINYANGA)

NAFASI ZA MASOMO KATIKA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (EARTH SCIENCES INSTITUTE OF SHINYANGA)

Karibu Chuo cha Madini Shinyanga Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) Mahali ambapo ubora ni msingi wetu na kila jiwe linachongwa kuwa hazina ya maarifa. Unapojifunza hapa, haupati tu elimu ya vitabuni, bali pia maarifa ya vitendo yanayokujenga kuwa mtaalamu anayehitajika katika sekta ya madini, mafuta, na gesi. Nafasi za Kujiunga Zipo Wazi! Mawasiliano Zaidi: 🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz 📧 Baruapepe: info@esis.ac.tz 📱 WhatsApp: 0765434604 / 0687434617

GUSA LINK HAPA CHINI

Post a Comment

Previous Post Next Post