
CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
CERTIFICATE & DIPLOMA APPLICATIONS ZINAENDELEA!
📚 Kozi Zinazotolewa:
✅ Exploration and Mining Geology (Utafiti na Uchimbaji wa Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia)
💡 Pia tunatoa Kozi Maalum za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses) kwa wadau wa sekta ya madini na mafuta.
🎯 Faida ya Kujisajili:
Wanafunzi wote wenye sifa ya kupata mkopo wa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) watapata fursa hiyo kwa mujibu wa taratibu na vigezo vya Serikali.
🌐 Omba Sasa: www.esis.ac.tz
📞 Wasiliana Nasi:
+255 687 434 617 | +255 765 434 604
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment