
📚 Kozi Zinazotolewa:
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji wa Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia)
🟨 Pia, tunatoa Kozi Maalum za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses) kwa mahitaji ya wadau wa sekta ya madini na mafuta.
💡 Faida za Kusoma ESIS:
-
Mafunzo ya vitendo yenye vifaa na mazingira ya kisasa.
-
Fursa za ajira kwenye sekta ya madini, mafuta na gesi.
-
Wanafunzi wenye sifa hupata mkopo wa Serikali kupitia HESLB kwa mujibu wa vigezo na taratibu.
🌐 Omba Sasa: www.esis.ac.tz
📞 Wasiliana Nasi: +255 765 434 604 | +255 687 434 617
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment