CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
🌍 Earth Sciences Institute of Shinyanga
📢 UDAHILI UNAENDELEA!
Kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma katika kozi zifuatazo:
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji wa Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia)
🟨 Pia, tunatoa Kozi Maalum za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses) kwa mahitaji ya wadau wa sekta ya madini na mafuta.
🎯 Faida za Kusoma ESIS
-
Mafunzo ya vitendo yanayokujenga kitaaluma na kiajira.
-
Fursa za ajira katika sekta ya Madini, Mafuta na Gesi.
-
Wanafunzi wote wenye sifa ya kupata mkopo wa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) watapata fursa hiyo kwa mujibu wa taratibu na vigezo vya Serikali.
🌐 Omba Sasa: www.esis.ac.tz
📞 Wasiliana Nasi:
+255 765 434 604 | +255 687 434 617
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment