Mgombea Ubunge Jimbo la Manonga, Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Abubakar Omar, amewaahidi wananchi wa Jimbo hilo, kuwa endapo watamchagua kuwa Mbunge wao, ataweka kipaumbe katika masuala ya elimu na upatikanaji pembejeo za Kilimo.
Hayo ameyaeleza mapema leo kwenye Mkutano wa kampeni ulio fanyika katani Nkinga jimboni hapo.
Msikilize...
MGOMBEA UBUNGE AAHIDI KUBORESHA ELIMU, PEMBEJEO ZA KILIMO
Dismas Lyassa
0
Dismas Lyassa
An Awards Winning Journalist/Editor with over 23 years experience in the areas of journalism, leadership and governance matters
Post a Comment