
Mgombea ubunge jimbo la kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika kata ya Buhanda jimboni hapo, mkoani Kigoma, Septemba 24, 2025.


Mwenyekiti wa Ngome ya vijana wa ACT, Abdul Nondo akionyesha bango lenye maelezo kuhusu mradi wa soko la jioni la Marungu lililojengwa kwa ufadhili wa ubalozi wa Denmark, ambapo fedha za mradi huo ziliombwa na mbunge wa wakati huo wa jimbo la Kigoma.


Post a Comment