" NYASANI AIBUKA KIDEDEA KWA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME MWENYE USHAWISHI 2025 MKOANI SHINYANGA (BEST MALE ARTIST INFLUENCER)

NYASANI AIBUKA KIDEDEA KWA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME MWENYE USHAWISHI 2025 MKOANI SHINYANGA (BEST MALE ARTIST INFLUENCER)

Msanii Nyasani ameibuka mshindi wa tuzo ya #Msanii Bora wa Kiume Mwenye Ushawishi (Best Male Artist Influencer) 2025, mkoani Shinyanga, akitambuliwa kwa mchango wake mkubwa katika muziki na namna anavyotumia kipaji chake kuhamasisha jamii hususan vijana.

Tuzo hiyo ni ushahidi wa jitihada zake, nidhamu, na ubunifu unaoendelea kumpa heshima ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga. Hongera kwa Nyasani kwa mafanikio haya makubwa! 👏🎶


Nyasani



 

Post a Comment

Previous Post Next Post