" Mogori “Simba ni klabu namba 2 ya Afrika baada ya Al Ahly”

Mogori “Simba ni klabu namba 2 ya Afrika baada ya Al Ahly”

 

Simba ni klabu namba 2 ya Afrika baada ya Al Ahly Kwa kufikia watu wengi (wafuasi).

“Si rahisi klabu kuwa na wadhamini na washirika 18 Kwa ukanda wa Afrika Mashariki’ –

Crescentius Magori Mwenyekiti wa bodi klabu ya Simba akijivunia wadhamini wengi Simba kuliko klabu yoyote Afrika Mashariki

“Mchakato wetu wa mabadiliko ambao tulianza 2017 unaenda kufikia tamati ni kipindi kigumu tumepitia maana huu mfumo unatumika ulaya hasa ujerumani ila Afrika hakuna Klabu inayotumia, tuliona ugumu ambao mamlaka za serikali na Wizara zilivyopata changamoto kupitisha.”

“Mfumo huu ambao unaitwa Hybrid umegawanyika wanachama wana Hisa zao na Muwekezaji ama wawekezaji wana hisa zao ni mfumo mgeni kabisa.”

Post a Comment

Previous Post Next Post