" Yanga Waiacha Mbali Simba Kwenye Viwango vya Ubora

Yanga Waiacha Mbali Simba Kwenye Viwango vya Ubora

 

IFFHS imeachia hadharani orodha ya Klabu 500 bora Duniani kuanzia Disemba Mosi,2024 hadi Novemba 30,2025 ambapo Afrika imejumuisha Klab7 31,Yanga wakiwa nafasi ya 7 wakati Simba ikikamata nafasi ya 11.

.
Kwa Afrika,Pyramids ndio Vinara na ni ya 30 Duniani.
.
Vipi kwa mwenendo ulivyo,unaiona Yanga kuendelea kuitawala Simba kwenye viwango au kuna namna baada ya uchaguzi Mkuu mnyama atabadilika?

Post a Comment

Previous Post Next Post