Watia nia kwa nafasi ya kugombea ubunge ccm jimbo la peramiho mkoani Ruvuma waanza kujitokeza kuchukua fomu , ambapo uchukuaji na urejeshaji wa fomu umeanza leo tarehe 18 Januari. Mchakato huo umeanza kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Jenista Mhagama, kilichotokea tarehe 11 Desemba 2025.

Post a Comment