Karibu uungane nasi Matendo haya ya Kiungu kuanzia tarehe 26-30/01/2026.
- Kujitolea Damu.
- Kuona na kusaidia wazee, Yatima, Walemavu, Wafungwa N.k
- Kufanya usafi maeneo ya Hospitali.
- Kusalimia na Kuombea wagonjwa.
USIKU WA SHUKURANI 2026 - BARAKA TELE
Wewe je! Utakuwepo?
👌🏽Karibu uungane nasi kumrudishia Mungu Sifa na Shukurani za Mioyo yetu kupitia Ibada hii kubwa.
USIKU WA SHUKURANI (Season II) 2026 - ABUNDANT BLESSINGS💪🏿
Kanda ya Ziwa yote na Mkoa Mzima wa Shinyanga tutakutana sehemu moja tu…
📅 Ijumaa, 30 January 2026
📍 AICT Kambarage Church-Shinyanga, Tanzania.
⏱️ 1:00 Usiku - 12:00 Asubuhi
👏👏HAKUNA KIINGILIO👏👏
📞 MAWASILIANO – TISHETI & UDHAMINI
Kwa yeyote anayehitaji tisheti au sweta za Usiku wa Shukurani, au anayependa kushiriki kama mdhamini:
📱 +255 685 788 063 – AICT Kambarage Choir
📍 Wauzaji – Shinyanga:
• Majengo & Mjini: Leonadia – +255 614 028 803
• Kambarage & Ndala: Abel – +255 628 495 081

Post a Comment