Na Mwandishi wetu, Misalaba MediaKaimu Afisa Madini Nehemia Mudala Ambae ni Afisa Mazingira Mkoa wa Tabora,Amewataka watanzania kuja kuwekeza Shughuli za Madini Mkoani Hapo kutokana na Mazingira Kuwa Rafiki kwa Wachimbaji wadogo Mkoani Hapo ukilinganisha na Maeneo Mengine.Akizungumza na Chombo hiki Cha Habari hiki Amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Rais wake Dkt Samia Suluhu Hassani Ameweka Mazingira Mazuri kwa Wachimbaji wa Mkoa huo kwa Kushirikiana na Waziri wake Anthon Peter Mavunde ambaye ni Waziri Mwenye Dhamana hiyo.Daudi Mwita Mmiliki wa Kasala Gold Mine ametoa Shukrani kwa serikali ya Awamu ya sita ukilinganisha ya awamu nyingine kwamba wametengeneza Mazingira mazuri kwa wawekezaji.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment