
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Petro de Luanda katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi, uliopigwa leo, tarehe 7 Februari 2026, nchini Angola.
Kufuatia matokeo hayo, ndoto za Simba SC za kusonga mbele katika michuano hiyo zimefikia tamati baada ya kushindwa kufikisha idadi ya pointi zinazohitajika
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment