Na Mwandishi wetu, Misalaba MediaKuelekea kilele Cha siku ya wanawake Duniani hati 178 zimetolewa Leo Mkoani Mwanza kwenye Kliniki ya Ardhi iliyofanyika katika viwanja vya Igombe.Katika tukio hilo Wanawake 77 na wanaume101 walipatiwa hati hizo.Kamishina wa Ardhi Mkoani Mwanza, Wilson Luge ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusisitiza kuwepo kwa kliniki za Ardhi nchini kote kuweza kushughulikia masuala ya Ardhi kwa wakati mwafaka.Wanufaika kwenye tukio hilo wameipongeza serikali kwa kuwapatia hati zao ziweze kuwasaidia katika majukumu yao.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment