Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Somoei Ruto pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) leo March 7, 2026.🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment