Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, leo Machi 25, 2026 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma ameongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uongozi iliyokutana kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu ) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi
Spika wa Bunge aongoza Kikao cha Dharura cha Kamati ya Uongozi
MISALABA BLOGGER
0







Post a Comment