" FURSA KWA WANAHABARI TANZANIA: JIUNGE NA PIJ FELLOWSHIP YA MIEZI 9 SASA

FURSA KWA WANAHABARI TANZANIA: JIUNGE NA PIJ FELLOWSHIP YA MIEZI 9 SASA

 

JIUNGE NA PIJ FELLOWSHIP YA MIEZI 9 SASA!

Je, wewe ni mwandishi wa habari unayetaka kukuza uwezo wako katika uandishi wa habari za maslahi kwa umma (Public Interest Journalism – PIJ)?

Usikose fursa hii adhimu! Jisajili sasa kwa ajili ya Fellowship ya miezi tisa inayolenga kuwawezesha waandishi wa habari kuzalisha maudhui yenye tija kwa jamii.

👉 Jaza fomu kupitia kiungo hiki:
https://fellowship.utpc.or.tz/auth

MUHIMU: Hakikisha unasoma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza fomu.

Waombaji wana nafasi ya kuchagua kushiriki katika:

👉Fellowship ya Kipindi cha Pili (Cohort 2), au

👉Fellowship ya Kipindi cha Tatu (Cohort 3)

Programu hii ya PIJ Fellowship inaratibiwa na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa kushirikiana na International Media Support (IMS) pamoja na JamiiAfrica.

Chukua hatua sasa—boresha taaluma yako na changia maendeleo ya jamii kupitia uandishi wenye tija.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post