WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Paul Makonda amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa Timu zote za
Taifa za Tanzania.
Aizungumza na waandishi wa Habari kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Mei 28, 2026, Waziri Makonda
amesema Haji Manara atafanya kazi chini ya Baraza la Taifa la Michezo
(BMT), na atazisemea timu zote za Taifa za mpira wa miguu.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment