Kuendesha gari lenye tairi zilizochakaa kumetajwa kuwa Moja ya sababu kubwa zinazosababisha ajali za barabarani.Akitoa elimu hiyo Kwa madereva wa Magari ya mizigo Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila amewaelimisha madereva kuacha Kuendesha Magari yenye tairi chakavu kuepuka ajali barabarani kwani tairi hizo huweza kupasuka ghafla na kupoteza uelekeo, kuteleza na kushindwa kusimama Kwa wakati pia kushindwa kustahimili kwenye barabara zenye mashimo na mawe Kisha kupelekea ajali barabarani Sajenti Ndimila amewataka madereva hao kukagua Magari hayo kabla ya kuanza safari na kubadilisha tairi chakavu pindi wanapozibaini ili kuzuia ajali zisizo za lazima wawapo barabarani.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment