Wanawake wanaojiusisha na
Uchimbaji wa Dhahabu katika migodi ya Nyarugusu Mtaa ya Nyaluyeye Mkoani Geita wamempongeza Salma Gasper kwa huduma anazowasaidia katika kufikia malengo yao.
Mmoja wa Wanawake kutoka chama cha wanawake Mkoa wa Geita (Gewoma) Anita Daudi amempongeza leo Mkurugenzi Salma kwa namna ambavyo amekuwa na Ukalimu kwa wanawake wenzake wanaojihusisha na shughuli hiyo.
Anita Daudi alisema kitendo cha kuwapatia rukhasa kwa wao kuchimba bure mgodini kwake ni cha kupongezwa na kila mwanamke katika eneo hilo hivyo alimwombea Mungu ampe maisha marefu.
Salma alisema Mazingira Mazuri tuliyonayo kwa sasa yanatokana na Rais kuwa na maono ya kujali maisha ya wachimbaji wadogo na watu wengine walio katika mazingira magumu.
Awali mchimbaji alikuwa anadharaulika lakini kwa sasa wachimbaji wanaheshimika kwani Dk Samia Suluhu Hassan amefanya watu watembee vifua mbele.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment