Habari picha ikimuonesha Askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga, Sajenti David Ndimila, akitoa elimu kwa wazazi kuhusu umuhimu wa kuanza kutoa elimu ya usalama barabarani ndani ya familia ili kusaidia kupunguza ajali za mara kwa mara.
Akizungumza wakati wa utoaji wa elimu hiyo, Sajenti Ndimila amewahimiza wazazi kuwa mstari wa mbele katika kuwafundisha watoto wao kanuni na matumizi sahihi ya barabara. Ameeleza kuwa kujenga utamaduni wa kutoa elimu ya usalama barabarani ndani ya familia ni mbinu muhimu ya kujikinga na ajali, kulinda maisha na kuepusha vifo pamoja na ulemavu unaotokana na ajali za barabarani.SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment