" RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU DAR ES SALAAM

  Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Waziri wa Mifugo, kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. David Ernest Silinde kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Beng’i Mazana Issa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Subira Khamis Mgalu kuwa Naibu Waziri wa Uvuvi kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Ngwaru Jumanne Maghembe kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Mhe. James Kinyasi Millya kuwa Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Ng’wasi Damas Kamani kuwa Naibu Waziri wa Mifugo kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.

PROFESSOR MGOKO EPISODE 08

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post