Timu ya
,pira wa miguu ya wanawake Manispaa ya Shinyanga Diamonds Queens imetembelea
kiwanda cha Jambo Products kilichopo kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga
Ziara ya
timu hiyo imelenga kujifunza namna uzalishaji unavyofanyika kiwandani hapo

KOCHA MKUU WA DIAMONDS QUEENS IBRAHIM SHABAN
Post a Comment