Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Serikali
katika Halmashauri ya manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Shirika lisilo
la kiserikali la Nancy Foundation, imeweka mipango ya kuwapatia bima ya afya
CHF watoto wanaoishi mitaani ili iwasaidie kwenye upatikanaji wa huduma ya
matibabu.
Hayo
yamezungumzwa na Mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii Manispaa ya Shinyanga
Bwana John Tesha kwenye zoezi la kutambua na kuchukua taarifa za watoto
wanaoishi mitaani linaloratibiwa na mashirika mawili ya Mkoa wa Shinyanga Nancy
Foundation na Ubongo learing kwa kushirikiana na idara ya maendeleo na ustawi
wa jamii ktk Manispaa ya Shinyanga.
Tesha amesema mchakato wa kuwapatia bima ya afya CHF watoto wa mitaani
unaendelea huku akiwaomba watoto hao kutoa ushirikiano kwa viongozi juu ya
taarifa muhimu za familia na maisha yao.
“Niwaombe watoto mtupe ushirikiano mmoja baada ya mwingine aongee matatizo yake tuyajue tuone namna ya kuwasaidia, tunataka tuwapatie Bima ya afya ili ukiwa unaumwa uende Hospitali ukatibiwe kwa sababu tiba ni muhimu sana sasa hili tunalifanya kwa kushirikiana na wazazi wenu mtupe ushirikiano kuwajua wazazi wenu tuunganishe kaya A na kaya B tupate kaya za watu wasiobungua watu sita mpewe Bima ya afya nyie kazi yenu ibaki tu kusoma na kutafuta maisha”.amesema Mgeni rasmi Tesha
Katika zoezi hilo watoto wamepatiwa zawadi ya vifaa vya shule ikiwemo daftari na karamu huku mgeni rasmi Bwana John Tesha akilipongeza shirika la Nancy Foundation kwa ubinifu huo unaolenga kuwasaidia na kuwatoa watoto katika mazingira magumu mitaani.
Kwa
upande wake afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Shinyanga Bi. Maria Okama amesema
zoezi la kukusanya watoto wa mitaani ni endelevu huku akieleza malengo
yaliyokusudiwa.
“Tulifanikiwa
kupata watoto 18 na leo tumeongeza watoto wamefika jumla 30 lakini pia hili
zoezi ni endelevu lengo la kuwepo hapa ni kuhakikisha kwamba tunachukua taarifa
muhimnu za watoto lakini pia kufahamu watoto hawa wanatoka katika maeneo gani
ili baada ya hapa tuweze kuondoka na
hawa watoto kuelekea katika familia zao tutaenda kuongeza na wazazi na walezi
lakini pia tumepanga wiki ijayo tuweze kukutana na wazazi wa watoto hawa ili
tuweze kuwapa elimu ya malezi na makuzi ya watoto lakini pia tuweze kuwapa
miongozo ya namna ya kuishi na watoto hawa”.Amesema afisa ustawi wa jamii Maria
Okama
Aidha baada ya shughuli hiyo limefanyika
zoezi la kuwarudisha watoto katika familia zao ambapo maafisa ustawi wa jamii
Manispaa ya Shinyanga wamewasihi wazazi na walezi kuhakikisha watoto hao
wanahudhuria shuleni.
Mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii Manispaa ya Shinyanga Bwana John Tesha akizungumza kwenye zoezi hilo la uchukuaji taarifa kwa watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani.
Afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Shinyanga Bi. Maria Okama akizungumza kwenye zoezi hilo la kuchukua kutambua na kuchukua taarifa za watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani.
Afisa
ustawi wa jamii Manispaa ya Shinyanga Bi. Maria Okama akizungumza kwenye zoezi
hilo la kuchukua kutambua na kuchukua taarifa za watoto wanaoishi na kufanya
kazi mitaani.
Afisa
ustawi wa jamii Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Bi. Ansila Materu akitoa
elimu kwa watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani.
Zoezi
la kuwanyoa nywele watoto wanaoishi na kufanya kazi mitani likiendelea katika
ukumbi wa Mazingira Center Manispaa ya Shinyanga.

Mkurugenzi
wa shirika la Nancy Foundation Bwana Ezra Manjerenga akizungumza kwenye zoezi
hilo la kuchukua kutambua na kuchukua taarifa za watoto wanaoishi na kufanya
kazi mitaani.
Mratibu wa usambazaji kutoka Ubongo learning akizungumza
kwenye zoezi hilo la kuchukua kutambua na kuchukua taarifa za watoto wanaoishi
na kufanya kazi mitaani.
Afisa ustawi wa jamii Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
Bi. Lemiflora Nyalaja akizungumza kwenye zoezi
hilo la kuchukua kutambua na kuchukua taarifa za watoto wanaoishi na kufanya
kazi mitaani.
Mtendaji talafa ya Shinyanga mjini Bwana Mathias Masalu
akitoa salaam zake kwenye zoezi hilo la kutambua na kuchukua taarifa kwa watoto
wanaoishi na kufanya kazi mitaani.
Zoezi la kuwanyoa nywele watoto wanaoishi na kufanya kazi mitani likiendelea katika ukumbi wa Mazingira Center Manispaa ya Shinyanga.
Viongozi na washirikia mbalimbali wa zoezi la kutambua na
kuchukua taarifa za watoto wa mitaani Manispaa ya Shinyanga.

Mkuu
wa idara ya maendeleo ya jamii Manispaa ya Shinyanga Bwana John Tesha akiendelea
na zoezi la kukabidhi vifaa vya shule ikiwemo daftari na karamu kwa watoto

la kuwapakulia watoto chakula likiendelea katika ukumbi wa Mazingira center
Manispaa ya Shinyanga.

Post a Comment