2024,Disemba,16
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Mabala Mlolwa .Leo tarehe 16.12.2024
Ameongoza kikao Cha dharura Cha Kamati ya Siasa ya Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga.
Imetolewa na :-
Richard Raphael Masele, Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Shinyanga.
Post a Comment