
Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikuwa nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo. Kila mara nilijikuta nikipata maumivu makali sehemu ya tumbo la juu, hasa nikiwa sijala kwa muda au baada ya kula vyakula vyenye viungo.
Sikuweza tena kufurahia chakula kama watu wengine. Maisha yangu yakageuka kuwa ya masharti nisile pilipili, nisinywe kahawa, nisile chakula cha kukaanga. Ilifika hatua hadi nikawa naogopa kula.
Nilijaribu kila aina ya dawa hospitalini. Nilikuwa mteja wa kudumu wa vidonge vya kupunguza asidi tumboni. Kila nilipoenda hospitali, daktari alikuwa ananiambia kuwa hali yangu ni ya muda mrefu na ningehitaji kuishi kwa uangalifu mkubwa.
Nilifanyiwa kipimo cha ‘endoscopy’ na ikathibitika kuwa nilikuwa na vidonda tumboni. Nilishauriwa nibadili lishe, nipunguze mawazo, na nitumie dawa kila siku.

Lakini hata baada ya kuzingatia yote hayo, sikupata nafuu kamili. Wakati mwingine maumivu yalizidi hadi nilishindwa kwenda kazini. Kulala usingizi pia ilikuwa shida.
Tumbo lilikuwa linaunguruma kama linawaka moto. Nilijikuta nikitumia dawa za maumivu mara kwa mara, jambo ambalo niliambiwa linaweza kuongeza ukubwa wa tatizo.
Nilianza kuvunjika moyo. Niliwaza kama nitateseka maisha yote. Siku moja, nikiwa kwenye daladala, nilimsikia mwanamke mmoja akimweleza mwenzake kuhusu namna alivyopona vidonda vya tumbo kwa kutumia dawa ya asili ya mizizi kutoka kwa mtaalamu wa tiba mbadala mkoani Mara.
Alimsifia sana akisema: “Nilitumia dawa hizo kwa wiki mbili tu, nikapata afueni kabisa. Sasa naweza hata kunywa chai bila maumivu!”

Maneno hayo yalinistua. Nilimfuata yule mama baada ya kushuka, nikamuomba anisaidie namba ya huyo mtaalamu. Bila kusita, aliniandikia namba hii kwenye karatasi: +255 763 926 750. Alinisisitiza nipige simu mapema kabla hali haijazidi kuwa mbaya.
Siku iliyofuata nilimpigia. Alikuwa mkarimu sana. Nilimweleza dalili zangu na aliniambia kwamba tatizo langu linaweza kutibika kabisa kwa kutumia dawa ya mizizi anayoiandaa kwa njia ya asili, bila kemikali yoyote.
Aliniambia atanitumia dawa hiyo kwa njia ya basi hadi mjini niliko, na nilitakiwa kuitumia kwa siku 14 mfululizo, mara mbili kwa siku, kabla ya chakula.
Nilipopokea dawa hiyo, nilianza kuitumia mara moja. Siku ya kwanza nilihisi tofauti ndogo tu. Lakini kufikia siku ya tano, niligundua kuwa tumbo langu halikuwa linaunguruma tena. Siku ya saba nilikula ugali na mboga ya pilipili, kwa uoga, lakini nilishangaa sikupata maumivu. Ilikuwa kama miujiza.

Wiki mbili zilipokamilika, nilikuwa huru kabisa. Hakukuwa tena na maumivu, hakuna kiungulia, hakuna kufura tumbo. Nilijihisi kama nimezaliwa upya.
Nilirudi hospitali kwa vipimo, na daktari wangu alishangaa kuona vidonda vimepona kabisa. Aliniuliza kama nilibadilisha dawa. Nikamwambia: “Ni tiba ya mizizi ya asili kutoka Mara.”
Tangu siku hiyo, nimekuwa nikimshukuru Mungu kwa kuniongoza kwa mtaalamu huyo. Leo hii naweza kula chochote, kunywa chai ya rangi, na hata kulala usingizi mnono bila hofu.
Kama na wewe unasumbuliwa na vidonda vya tumbo au matatizo ya aina hiyo, usisite kumpigia kwa namba hii: +255 763 926 750. Tiba asilia ya kweli ipo, na mimi ni ushahidi hai.
SOMA ZAIDI
Post a Comment