" MCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU: AMVAA BASHE NZEGA

MCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU: AMVAA BASHE NZEGA


Peter Mashili ambaye ni Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa madini ya dhahabu mkoa wa Tabora, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kupata nafasi kugombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini kumkabili Hussein Bashe ambaye ndiye Mbunge wa Jimbo hilo anayemaliza muda wake kwa awamu hii.

Peter Mashili hii ni mara yake ya pili kunitosa kuomba ridhaa ndani ya chama chake ambapo awamu ya kwanza ilikuwa mwaka 2020.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post