" MWENYEKITI WA MTAA KISHIRI A ACHUKUA FORM YA UDIWANI

MWENYEKITI WA MTAA KISHIRI A ACHUKUA FORM YA UDIWANI


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Kishiri A Lukas Bupilipili amechukua Form ya Kuomba ridhaa ya Kugombea udiwani Kata ya Kishiri kupitia Ccm

Form iyooo ameichukua Leo Juni 30 katika Ofisi za Ccm Kata ya Kishiri na kukabidhiwa na Katibu wa Ccm Wilaya hiyo


🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post